Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja II Job At Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja II Job At Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba

Job Title: Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja II

Company: Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba
Location: Bukoba, Tanzania
Type: Full-time
Application Timeline: 2024-10-22 to 2024-11-04

Job Description:
We are looking for dedicated and organized individuals to fill the Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja II position. The successful candidates will be responsible for handling and managing records, distributing files, and ensuring efficient tracking of documents within the institution.

Key Responsibilities:

  • Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)
  • Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)
  • Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers)
  • Kupokea majalada kwa Watendaji (action officers)
  • Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji
  • Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada (racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa
  • Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)

Qualifications and Experience:

  • Kuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI)
  • Aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Masjala kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali
  • Mwenye ujuzi wa Kompyuta

Remuneration:
TGS C

How to Apply:
Interested candidates should submit their applications here

Leave your thoughts

Eduforumtz

Eduforumtz

Welcome to your trusted source of Learning

IMPORTANT INFORMATION